SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 13 Julai 2016

T media news

Mcheza Mpira wa Basketi Mtanzania Aishie Marekani Afariki Dunia Baada ya Kutumbukia Mtoni

TANZIA: Mtanzania, Samson Charles Bidan (20), aliyekuwa akiishi huko katika jiji la North Plate nchini Marekani, amefariki dunia baada ya kutumbukia mtoni

Alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu akijiandaa na mashindano ya michezo vyuoni (NCAA)