Mwanamuziki wa Congo Koffi Olomide ambaye amewasili Nairobi Kenya leo asubuhi ya July 22 akiwa na wanamuziki wake pamoja na dancers wake kwa ajili ya show, ameripotiwa kukamatwa baada ya kumpiga teke dancer wake wa kike wakati wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata