SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 6 Mei 2016

T media news

MWANADADA AMBER ROSE AFANYA MAZOEZI KWA STYLE YA PEKEE.

Mwanadada Amber Rose ameonekana akifanya mazoezi ya mwili kwa style ya aina yake,Akiwa na miwani ya jua,kivazi cha mtoko na muonekano wa kuparty.Miwani hiyo ya jua akihashiria ni mchana kweupe akizuia jua.Hapana shaka hata manukato alikua kajipulizia.Michoro ya mwilini ikiwa katika ubora wake wa kimwonekano.