SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 10 Mei 2016

T media news

KUONDOA HARUFU MBAYA KWA PANI;

                                         



 
 
 kikwapa   ni kutoa harufu mbaya kwapani ktk sehemu ya mwili wa mwanadam  tatizo la kunuka kikwapa litasababishwa na bakteria wanaovutiwa na unyefu nyefu ktk kwapa tatizo la kikwapa ni kero kwa kutoa harufu mbaya inayo kuwa kero kwako na kwa mtu mwengine.
 
ILI KWAPA LAKO LIWE NZURI NA HARUFU NZURI FANYA YA FWATAYO:

Chukuwa kipande cha limau 🍋 jipake kwenye kwapa lako kisha acha dakika kadha ilikuwa wa dudu wote wa kwapani na tenzi zinazo sababisha kunuka kikwapa.      ❌Epuka kupaka parfum ktk kwapa lako.
                                       

Vaa nguo zenye asili ya pamba. na sufu. hariri.  na zanyuzi nyuzi zitasaidia kulikausha kwapa lako na kulia cha safi na salama
 
Oga kila siku na safisha nguo zako utasaidia kuuwa bakteria zinazo sababisha kwapa kunuka

Kunywa maji mengi itasaidia kuuwa sumu mwilini na kuondoa harufu kwapani

Osha kwapa lako mara kwa mara na sabuni zenye dawa na upake kipande cha limau 🍋

Punguza kula chakula chenye viungo vingi na bitunguu vingi.                          

Epuka kukaa sehemu yenye joto kupita kiasi

Nyoa nywele zako za kwapani mara kwa mara

Kumbuka kukausha maji kwa pani mara kwa mara upaache pakiwa pakavu na kitambaa safi.
                                         

Tumia utaratibu huo Biidhinillah Taala Allah Shafii Allah Muafii Hakimduru chochote mwanaadam Ispokuwa kwa Indhini ya Mwenyezi.           Tiba by Maalim Djuma Saiful-qatwaa: +2785650275.               Nikumbuke ktk Dua zenu

KUHUSU KUONDOA SHUNUSI KWENYE NA MAPERE KTK MWILI TUMIA UTARABU HUU BIIDHINILLAH TAALA👇👇👇