Habari sanaa na michezo

Jumatatu, 9 Machi 2026

T media news

FAIDA KATIKA KUIENDEA SWALA


 ➡ *Hukmu ya kuswali huku ukijizuwia moja ya Haja mbili ima kubwa au ndogo*


🍃♦️▫️الٳمـام العـلامـة ابـن بـاز رحمــه اللـہ وغـفــر لـه :


🍃♦️▫️ الســــــــــــــؤال :

swali :


🍃♦️▫️ أصلي وأنا أدافع الريح أحيانا، فهل صلاتي صحيحة؟

Ninaswali huku nikiwa najizuwia na kutokwa na upepo baadhi ya nyakati je swala yangu sahihi ?


🍃♦️▫️الجـــــــــــــواب :

Jibu :


🍃♦️▫️ الواجب على المؤمن إذا شُغِل بالريح أو البول أو الغائط شغلًا يؤذي أنه لا يدخل الصلاة

lililo la wajibu kwa muumin anapo shughulishwa na upepo au haja ndogo au haja kubwa mshughuliko  ambao unampa dhiki hakika haifai kuingia katika swala 


 🍃♦️▫️بل يقضي حاجته من غائط وبول وريح ثم يتوضأ ويصلي وهو خاشع القلب والجوارح مقبل على صلاته،

*Bali inampasa akidhi Haja yake ima haja kubwa au haja ndogo au upepo kisha atawadhe na aingie katika swala akiwa mwenye utulivu wa moyo na viungo akiikabili swala yake*


🍃♦️▫️ هذا هو الذي ينبغي لكل مؤمن ومؤمنة لقول النبي صلى الله عليه وسلم: 

hii ndio inampasa kila muislam wa kike au wakiume kwa kauli ya Mtume wa Allaah (swalla Allāhu alayhi wasallama): 


🍃♦️▫️((لا صلاة بحضرة طعام ولا وهو يدافعه الأخبثان)) رواه مسلم، 

( hakuna swala haliyakua chakula kipo tayar wala hakuna swala halikua unazuwia Haja mbili )


 imepokewa na imaam Muslim 


🍃♦️▫️يعني:البول والغائط، والريح في معناهما فإن الريح إذا اشتدت تكون في معنى البول والغائط في إيذاء المصلي وفي إشغاله عن صلاته

maana yake: Haja ndogo na haja kubwa na upepo nao hupewa maana ya hivyo viwili hakika upepo ukizidi huwa na maana ya haja kubwa na ndogo katika maudhi kwa mwenye kuswali na hakika kumshughulisha mwenye kuswali katika swala yake 


🍃♦️▫️ فالمشروع لك أيتها الأخت في الله إذا أحسست بالريح الشديدة أن تتخلصي منها وتتوضئي ثم تصلي.

➡ Iliokua katika sheria ewe Dada kwa ajili ya  Allaah ukihisi upepo mkali basi malizana nao ( utoe ) kisha tawadha na uswali ( ukiwa huna chaku kushughulisha )


📚 مجموع الفتاوۍ (11/80)

Majmuui fawaawa 11/80


Swali limejibiwa na Sheikh bin Baaz (Allaah Amrehemu).