Haya wale mashabiki wa kiba msio na king'amuzi cha azam tv, huu ndio muda muafaka wa kukinunua ili muweze kushuhudia star wenu akichukia jiko huko mombasa,kenya. mambo ni Fireee
habari michezo na burudani