SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 14 Machi 2018

T media news

Diamond Platnumz: Media zinazoibania WCB zinalose, Mimi ni Maji Usipoyanywa Utayaoga

Suzette amemfuata Diamond Platnumz Nairobi, Kenya alikoenda kufanya uzinduzi wa album yake, A BOY FROM TANDALE aliyezungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na nyimbo alizoweka ndani yake, collabo na wasanii wakiwemo Ne-Yo,Rick Ross na Omarion. Amezungumzia uwekezaji wake kwenye redio na TV (Wasafi TV/FM), kubaniwa kwa wasanii wa WCB na mambo mengine kibao

VIDEO: