Mungu awajaalie tabia ya uaminifu muache alama na muwe mfano wa kuigwa katika nyumba yenu.Mnapotamani kunena,ndimi zenu ziwe za fasaha na ziratatibiwe na maneno ya kiada kila wakati.
Wajihi wenu uwe jamali kwa marafiki na maadui zenu pindi mkitazamwa ,tena mkapambwe la libasi la uchaMungu na usalata wa ibilisi upite dhiraa nyingi na mlipo.
Daima mkawe watu ashrafu na mtimize kila ruia iliyo njema huku mkitafakari kwa kituo taathira zenu baada ya ninyi kutawafu dunia.
Kwa heba isiyomithilika namuomba Mola ajaalie maisha mema yenye kutengeana sikio allah tukutane Jinani na tuhukumiwe kwa matendo mema.