SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 15 Februari 2018

T media news

Mwanaharakati Mange Kimambi Ana Nguvu Sawa na Chama Kikuu cha Upinzani nchini

Kwa kweli mwanaharakati huyu ana ujasiri wa kupigiwa mfano. Sitaki kumtolea mfano wa akina- Assange na Snowden lakini Mange ana nguvu kubwa kama chama kikuu cha upinzani.

Mimi naona ni mwanamke mwenye akili kubwa na uwezo wa kufikiri mkubwa kwani kila nyanja anaweza akaisemea vizuri.

Huyu ana faida kwetu lakini tumsaidie kwa kumpa taarifa zenye ukweli na manufaa ya taifa letu. Mfano mpenyesheeni majina na kikundi cha wasiojulikana angalau tuishi kwa amani mtaani kwetu, ufisadi... n.k.

Hongera Mange Kimambi.