SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 10 Februari 2018

T media news

Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Bunda yamkataa Dc

Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Bunda yamkataa Dc,pia yakataa taarifa yake ya utekelezaji wa Ilani yeye asema ni mwana CCM mtihifu, lakini hakupewa nafasi ya kusikilizwa