SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 8 Januari 2018

T media news

Brown Amshangaa Jack Wolper Kutangaza Ndoa na Mwanaume Mwingine Mwezi Mmoja tu Baada ya Kuachana

Kijana Brown ambaye alikuwa kwenye mahusiano na Jackline Wolper amesema mpaka sasa wana mwezi mmoja tangu wawili hao waachane, lakini tayari Jackline Wolper ameshapata mwenzi na ametangaza ndoa.