Leo Novemba 16, 2017, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesogeza mbele kesi ya mrembo wa video nchini Agnes Gerald maarufu kama Masogange.
Mrembo huyo ambaye anatuhumiwa kwa kesi ya utumiaji wa madawa ya kulevya, imeahirishwa kutokana na Mawakili wake kushindwa kumuandaa mapemba kwa ajili ya kujitetea.
Kesi hiyo inatarajiwa kuendelea tena Mahakamani hapo January 17.