SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 19 Septemba 2017

T media news

Scandal ya Hamissa mobetto na Diamond yadaiwa Kuwa ni Kiki ya Wimbo Mpya Utakaotoka Leo Clouds FM

Habari zenu

Kwa habari zilizo chini chini inasemekana kuwa hii scandal ya mahusiano ya kimapenzi kati ya Hamissa na Diamond Platnumz ni mipango ya kuwateka watu kiakili katika kipindi hiki Diamond anapotaka kuachia nyimbo nyingine

Inasemekana anatarajia kuachia nyimbo mpya kesho katika kipindi cha leotena cha Clouds fm asubuhi