SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 7 Septemba 2017

T media news

Huddah Awachana Wanawake Wanaomtaka Kimapenzi Mtandaoni

Staa wa Kike maarufu kwenye mitandao ya Kijamii duniani Huddah The Boss Chick ambaye kwao ni Kenya ametoa jibu kwa wanawake tofauti waliokuwa wakiomba penzi lake kwenye Direct Message ya Instagram

Kwa mujibu wa Huddah inaonekana wazi ni zaidi ya mwanamke mmoja aliyemtaka kimapenzi ndio maana akaamua kuwajibu wote kwa wakato mmoja.

Huddah ameandika >>I miss my KING! And for those who keep asking on my DM! I am not BISEXUAL! I DON’T do WOMEN! I love D**K too much!😍😁 Most of my friends are GAY 💯and I love them to death but I don’t swing that way with women! Sawa? Thanks . Love you! ❤️ #STARGAL⭐️ “

Akimaanisha>“NimeMiss Mfalme wangu, na kwa wale wanaouliza kwenye DM Yangu, mimi sifanyi matendo ya ngono na wanawake wenzangu, napenda sana D**K, marafiki zangu wengi ni mashoga na nawapenda mpaka kufa, ila mimi sifanyi mambo hayo, Asante“

Hivi karibuni Huddah alikuwa kwenye vichwa vya habari baada ya kuonekana kwenye instagram ya Rick Ross.