SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 16 Septemba 2017

T media news

Diamond Apokelewa Kama Raisi Msumbiji, Apewa Heshima zote za Kiraisi.

Hayo mapokezi ya Diamond ni makubwa sana amepewa heshima kubwa mno hakuna msanii Tanzania aliewahi kupokelewa vile ngoja tusubiri na rekodi atayovunja ya kufanya show indigo london ambapo hakuna msanii wa bongo aliewahi kufanya show ya peke yake indigo.