SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 13 Agosti 2017

T media news

Nuh Mziwanda Hana Tatizo na Mpenzi Mpya wa Shilole...Afunguka Haya Kuwafagilia

Toka Shilole aanzishe uhusiano mpya wa kimapenzi amekuwa sio mtu wa kuyaweka hadharani sana ikiwa ni pamoja na kumficha mpenzi wake huyo mpya ambaye amefahamika kwa jina la Uchebe lakini Gossip Cop Soudy brown alifanikiwa kuipata picha yao na kuipost kwenye ukurasa wake.

Baada ya Soudy kuipost na kuandika ‘Shishi Baby Na Uchebe wake wanawasalimia wana nzengo’ alipokea comments kutoka kwa watu tofauti akiwemo mpenzi wa zamani wa Shilole, Nuh Mziwanda ambae aliandika‘Hakika wamependezana’