SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 9 Agosti 2017

T media news

Breaking: Rais Magufuli ateua M/kiti wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. William Anangisye kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

Prof. William Anangisye ni Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).

Gerson Msigwa

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU

Dar es Salaam

09 Agosti, 2017