Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba leo amefungua rasmi kongamano la Tukutane Butiama linalolenga kujadili na kuona njia sahihi ya kutatua changamoto mbalimbali za mazingira.
Waziri Makmba amefungua kongamano hilo ikiwa ni mwanzo wa maadhimisho ya wiki ya mazingira duniani ambapo limehudhuriwa na watu mbalimbali na kutoa michango yao kuhusu njia za kukabiliana na uharibifu wa mazingira.
Hapa chini ni picha kutoka kwenye kongamano hilo;



















