SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 25 Mei 2017

T media news

Zitto Kabwe 'Kwa Hili Sisi ni Matajiri Kuliko Afrika Kusini na Ghana'

"Mwaka 2016, Afrika Kusini ilizalisha tani 140 za dhahabu na Ghana tani 90 hivyo kuongoza Afrika. Kwa Taarifa ya Prof. Mruma, Tanzania huzalisha tani 112  za dhahabu kutoka kwenye makanikia yaliyokutwa kwenye makontena ya migodi 2 tu ya Buzwagi na Bulyanhulu. Ukiongeza uzalishaji wa migodi ya North Mara na Geita, Tanzania inakuwa mzalishaji mkuu wa dhahabu Afrika nzima.



Sisi ni matajiri Sana. Tunapaswa kuwa Donor Country LoL"- Ameeleza Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Facebook leo Mei 25.