SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 25 Mei 2017

T media news

Kisa Mahojiano ya RC Makonda..Mtangazaji Cyprian Musiba wa Radio Free Africa Aamua Kuacha Kazi


Mtangazi na kiongozi wa Radio Free Africa bwana Cyprian Musiba ameamua kuacha kazi kutokana na issue ya maadili mara baada ya mahojiano ya Rc Makonda.

Kupitia ukurasa wake wa insta amebainisha hayo.