SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 5 Mei 2017

T media news

Sugu aungurumisha bajeti ya Habari bungeni

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi  

Dodoma.Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amesema uhuru wa bahari nchini umeporomoka kwa kasi nchini tangu Serikali ya Awamu ya tano iingie mahakamani.

Amesema matukio ya kuwakamata watu wanaotumia haki yao kutoa maoni yameipa sifa mbaya nchi duniani kuwa hakuna uhuru wa vyombo vya habari.

Amesema hadi mwisho wa 2016 watu 10 walikuwa wameshtakiwa kwa kumkashifu Rais.