SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 8 Mei 2017

T media news

Picha 4: Ajali iliyotokea Tanga usiku na kusababisha vifo vya watu 4

Usiku wa kuamkia leo majira ya saa mbili ajali nyingine imetokea katika kijiji cha Lusanga-Muheza ambapo gari aina ya coaster inayofanya safari zake Tanga-Lushoto imegonga lori kwa nyuma,na kusababisha vifo vya watu wanne.

Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa Waliofariki kwenye ajali ya basi aina ya Coaster ni Wanne 4, wawili wanaume na wawili wanawake na

Majeruhi ni 15 ambao wamekimbizwa Hospital ya Teule Muheza kwa matibabu zaidi.