Kitanda cha Sokwe Mtu ni kitabu kinachoelezea simulizi la ukweli linalo muhusu kijana Lugwisha kutoka Goweko, wilaya ya Uyui mkoani Tabora ambae alifilisiwa fedha, mali na utajiri wake wote kwa kutumia uchawi wa fimbo za kwenye kitanda cha Sokwe Mtu.
Lengo la kitabu hiki ni kumsaidia msomaji kuzitambua hila, njia na mbinu mbalimbali zinazo tumiwa na wachawi katika kusababisha madhara na matatizo kwa watu mbalimbali pamoja na jinsi ya kujikinga na kujiepusha nazo.
Kitabu hiki kimeandikwa na DOKTA . MUNGWA KABILI na kinapatikana kwa gharama ya SHILINGI ELFU KUMI TU.
Kuapata nakala yako PIGA SIMU NAMBA 0744 000 473.
YALIYOMO NDANI YA KITABU HIKI
Katika kitabu hiki utapata kufahamu mambo mbalimbali kama vile ;
1.Jinsi wachawi wanavyo tumia fimbo au miti ya kwenye kitanda cha sokwe mtu kutengeneza uchawi na ulozi hatari wenye kusababisha nuksi,balaa na mikosi kwa mwanadamu pamoja na jinsi unavyo weza kujiepusha na shari hii.
2. Ndani ya kitabu hiki utapata kufahamu jinsi wachawi wanavyo tumia mizizi iliyo okotwa kaburini wakati kaburi linachimbwa kutengeneza uchawi hatari wa kuwasababishia watu nuksi,mikosi na mabalaa mbalimbali pamoja na jinsi unavyo weza kujikinga na kujiepusha na shari hii.
3. Katika kitabu hiki maridhawa, utapata kufahamu jinsi wachawi wanavyo tumia majani ya kimbunga yaliyo peperushwa na kimbunga kikali ambayo yamedakwa bila kufika chini ya ardhi katika kutengeneza uchawi na ulozi wa aina mbalimbali kama vile mapenzi nakadhalika na jinsi unavyo weza kujikinga na ulozi huo.
4. Ndani ya kitabu hiki utapata kufahamu jinsi wachawi wanavyo tumia fusho chafu kuliko yote kusababisha nuksi, mikosi, na mabalaa kwa watu watu mbalimbali pamoja na jisni ya kujikinga nalo. Fusho hilo ndio fusho chafu kuliko mafusho yote duniani na hufanana na lami nyeusi.
5.Utapata kufahamu jinsi wachawi wanavyo tumia mzizi wa mti wa Mbono Kaburi katika kupika na kutengeneza uchawi wenye kusababisha nuksi,mikosi na mabalaa kwa watu mbalimbali na jinsi ya kujikinga na kujiepusha dhidi ya balaa hili.
6.Ndani ya kitabu hiki utapata kufahamu kuhusu matumizi ya mzizi ulio katisha njia. Mzizi ulio katisha njia ni kizimba kikubwa sana chenye matumizi mengi sana katika ulimwengu wa kiganga. Ni kizimba kinacho tumika kufungua vifungo vya kichawi karibu vya aina zote. Ndani ya kitabu hiki utapata kufahamu ni kwanini mzizi ulio katika njia hutumika kufungua vifungo vya aina zote pamoja na jinsi unavyo tumika
7.Utafahamu kwanini wachawi humtumia Kinyonga mwenye mimba kutengeneza ulozi mzito na hatari kabisa ambao husababisha madhara na matatizo mazito kwa wanawake wajawazito wakati wa kujifungua pamoja na jinsi ya kujikinga na kujiepusha na uchawi huo.
8. Utafahamu kwanini wachawi humtumia huyo huyo kinyonga mjamzito kutengeneza ulozi hatari wa mapenzi.
9. Utafahamu ni kwanini kinyonga huyo huyo mjamzito anaweza kutumika katika kutengeneza zindiko kali sana la shamba, mali au nyumba.
10. Utafahamu kwanini ni bora utumie utango wa panya au kuku kumzindika mtoto awahi kutembea au kumtibu mtoto alie chelewa kutembea kuliko kutumia utango wa vitoto vya kinyonga ?
11. Utafahamu kwanini mwanamke mwenye tatizo la kuchoropoa mimba, ili apone tatizo lake ni lazima achanjiwe kwa dawa ambayo lazima iwe imechanganywa na nge mwenye mimba
12. Utafahamu kwa nini wachawi huwa hawali mlenda, samaki mwenye magamba au kitu chochote kile kinacho teleza.
13. Utafahamu kwanini wachawi, mtoto akizaliwa na kitovu kikadondoka, basi kile kitovu ni lazima kikazikwe kwa tambiko maalumu chini ya mti wa msufi.
14. Utafahamu jinsi wachawi wanavyo tumia kinyesi cha sokwe mtu, Nyani, Tumbili, Ngedere, Fisi, Chatu, Bundi,paka mweusi, kimburu, kinyesi cha ndege ajulikane kwa wachawi kama Mkatasanda au Mpambe wa bundi, kinyesi cha mtu alicho jisaidia porini pamoja na vizimba vingine katika kutengeneza uchawi wa kumtia mtu nuksi. Pamoja na jinsi unavyo weza kujiepusha na shari hii.
15. Utafahamu jinsi wachawi wanavyo mtumia Kimburu katika kutengeneza uchawi wa kumtia mtu nuksi na mikosi. Kimburu ni paka aliye asi nyumbani na kukimbilia porini au mapangoni. Ni kizimba hatari sana kinacho tumiwa na wachawi kuwatia watu mikosi.
16. Kibinya Utafamu jinsi wachawi wanavyo mtumia Kibinya mapumbu wa kwenye mti wa Mfausiku katika shughuli zao za kichawi pamoja na jinsi ya kujiepusha na shari zake zote. “ Kibinya mapumbu “ (ASHAKUM SI MATUSI ni aina ya mjusi kafiri anaeishi porini kwenye miti mikubwa mikubwa hususani mti wa Mfausiku.
17. Utafahamu mambo mengi kuhusu mafuta ya usiku. Kama vile kwanini wachawi au mshirikina mzuri, hawezi kufanya biashara ndogo hususani inayo husiana na chakula bila kutumia mafuta ya usiku. Kwanini wachawi na wanashirikina wanaamini, ili mtu afanikiwe katika biashara ya vitu vya kula ni lazima atumie mafuta ya usiku.
18.
19. Kupitia kitabu hiki utafahamu kuhusu aina kuu mbili za matambiko ya uchimbaji madini.
20.
21. Utafahamu kwanini wachawi wanapenda sana kutumia mti wa mgomba katika shughuli zao za kichawi . Kwa mfano wachawi huutumia mti wa mgomba kwenye misukule lakini pia mti huo huo unatumika katika kutengeneza ulozi hatari wa mapenzi.
22. Utafahamu kwanini wachawi hutumia mafiga ya mabichi ya mti wa mfausiku kumvuta mtu alie mbali kimapenzi.
23. Utafahamu kwanini uchawi unao tumika kumvuta mpenzi aliye mbali ni lazima uchochewe kwa majani makavu ya mgomba.
24. Utafahamu kwanini wachawi wanapotumia uchawi wa koroboi kumvuta kimapenzi mtu aliye mbali ni lazima watumie utambi maalumu na ni lazima mafuta yatakayo tumika yawe yamepatikana bila kuombwa wala kununuliwa.
25. Utafahamu kwanini mke au mume aliye kimbiwa na mwenzi wake ni lazima atumie mti wa mnyaa ili kumvuta kichawi mwenzi wake huyo? Na ni kwanini ni lazima mti huo utumike kuanzia mlangoni hadi chini ya uvungu wa kitanda walichokuwa wanakitumia.
26. Utafahamu uhusiano uliopo kati ya tumbaku, chumvi ya mawe, mtama na ulozi wa mapenzi
27. Utafahamu kwanini mtu anaetaka kupandishwa nyota yake ni lazima aogeshwe kwa kutumia maji makuu na apakwe mafuta makuu? Unayajua makuu ni nini ? Na je mafuta makuu ni nini ? Vyote vinapatikana ndani ya kitabu hiki maridhawa.
28. Utafahamu kwanini mwanamke anae taka kumtawala mume wake kimapenzi ni lazima aoge dawa ambayo ndani yake lazima yavunjwe mayai saba ya kuku wa kienyeji, na maji yatakayo tumika kupikia dawa hiyo, ni lazima yawe maji yaliyo tumika kuoshea mchele na ni lazima aogee juu ya meza. Ndani ya kitabu hiki utafahamu kila kitu kuhusu jambo hili.
29. Mtu anaetaka kusafishwa mwili wake kwa ajili ya mvuto wa mapenzi, pamoja na mambo mengine yote ni lazima pia aoge dawa ambayo imepikwa kwenye maji ya kwanza ya mtoni ambayo yalichukuliwa mtoni kwa tambiko maalumu. Unajua ni kwanini na jinsi inavyo fanyika? Yote utayapata ndani ya kitabu hiki.
30. Mtu akitaka kumvuta mtu kimapenzi ni lazima akamilishe hatua kuu nne. Je unajua ni hatua gani hizo ? Majibu yote utayapata ndani ya kitabu hiki.
31. Baharini kuna samaki mmoja wa kijini, ambae anajulikana kama samaki mtu au nguva . Huyu nguvu ana uhusiano mkubwa sana na aina Fulani ya madini adimu ambayo pia hupatikana baharini. Mbali na uhusiano na madini hayo samaki huyu ana uhusiano na kizimba kimoja kizito sana ambacho pia hupatikana baharini. Kizimba hiki kina matumizi mengi sana, miongoni mwa matumizi hayo ni pamoja na kutengeneza kinga kubwa pamoja na kuzindika mchimba madini au mgodi. Je unajua ni kizimba gani hicho? Na unajua kinatumikaje ? Majibu yote ndani ya kiitabu hiki.
32. Katika matambiko ya uchimbaji wa madini huwa kuna njia kuu mbili ;Njia ya kwanza unafanya tambiko la kumtengeneza mchimbaji na njia ya pili unafanya tambiko la kutengeneza shimo. Tambiko kwa mchimbaji hufanyika ila kumfanyia mchimbaji huyo wepesi wa kupata madini kila anapo ingia shimoni kuchimba ilhali tambiko la kutengeneza shimo hufanyika kwa lengo la kulifanya shimo litapishe madini ya kutosha. Tambiko la kumtengeneza mchimbaji madini huwa lina hatua kuu ishirini na moja na tambiko la kuzindika shimo huwa lina hatua arobaini. Je ni hatua gani hizo ? Majibu yote ndani ya kitabu hiki.
33. Katika kitabu hiki utapata kujua kwanini mchawi akienda ugenini au sehemu yoyote asiyo kuwa nayo huwa hawezi kula nyama yoyote yenye mfupa wala samaki bila kuwa na kinga maalumu?. Mifupa ya samaki au nyama ambayo mtu alikula na kuitema huwa ni kizimba kizito na hatari sana cha mapenzi ambacho humfunga kimapenzi mtu aliye kula nyama au samaki huyo. Wengi walio fungwa kwa uchawi huu hatari wa mapenzi wameishia kufilisika. Unajua ni kwanini uchawi huu una nguvu sana? Unajua kinga yake ni nini ? Yote utayapata ndani ya kitabu hiki.
34. Kama kuna mtu amelishwa au kutupiwa uchawi, ili kubatilisha uchawi aliolishwa ni lazima tambiko lifanyike chini ya mti wa Mkuyu usiku wa manane. Kwenye tambiko hilo pamoja na vitu vingine ni lazima kuwe na pemba nyeupe, kuku weupe, mayai ya kuku, na ni lazima wachinjwe njiwa na punda. Vilevile ni lazima mganga aende akiwa amejipaka dawa maalumu, avae vazi maalumu na atakapo kuwa katika eneo hilo ni lazima azunguke mti wa Mkuyu kinyume nyume mara arobaini. Unajua ni kwanini lazima hivyo? Unajua jinsi inavyo kuwa ? Majibu yote ndani ya kitabu hiki.
35. Hivi unafahamu ya wa kwamba, wachawi huamini kuwa, katika viumbe wote, mwanadamu ndio kiumbe anae toa harufu mbaya kuliko kiumbe yoyote Yule duniani? Na hii sababu ndio maana mchawi anaweza kutumia uchafu wake mwenyewe kama vile uchafu wa kwenye kikwapa, uchafu wa mdomoni, pamoja sehemu nyingine zote za mwili wake kutengeneza uchawi na ulozi hatari wenye kutuma nuksi, balaa na mikosi kwa watu ? Hapo hapo utafahamu kwanini wachawi hupendelea kuitumia siku ya kuamkia Jummanne kuwatia watu nuksi kwa kutumia harufu mbaya za kwenye midomo yao ? Ni jinsi gani unaweza kujikinga na kujiepusha na uchawi huu mbaya ? Yote utayapata ndani ya kitabu hiki maridhawa.
36. Vile vile katika kitabu hiki utapata kufahamu kwanini mtu anapokuwa anachanjiwa kinga nzito ni lazima awe amekalia jiwe na jiwe hilo ni lazima liwe ndani ya majini, baharini, ziwani, mtoni au chombo maalumu kilicho tiwa maji ?
Hayo ni baadhi ya mambo machache ambayo utayafahamu ndani ya kitabu hiki. Mambo mengine ni pamoja na jinsi wachawi wanavyo tumia vitu na mambo mbalimbali kusababisha madhara na matatizo kwa watu na jinsi unavyo weza kujikinga na kujiepusha na shari za wachawi.
==>Baadhi ya vitu na mambo hayo ni pamoja na :
1. Magunzi ya mahindi yaliyo liwa na nyani shambani
2. Udongo wa kwenye shamba ambalo lilivamiwa na kuliwa na nyani.
3. Visima arobani na mito arobaini.
4. Nzige walio chukuliwa shambani wakiwa wanafanya uharibifu
5. Mabaki ya kwenye shamba au majani mwitu yaliyo liwa na nzige.
6.
7. Mizizi ya mti uitwao Mtopetope
8. Mizizi ya mti uitwao Mshindwi
9. Sindano na nyembe zilizo katwa na kwanini huwa zinakatwa.
10. Makaburi ya zamani ( mMakaburi yaliyo sahaulika )
11. Mdudu kusahau ( Huyu ni mdudu ambae hupatikana porini na nyikani.Ana sifa moja kubwa inayo mtofaustisha na wadudu wengine wote. Ukimkanyaga mdudu huyu, utasahau njia ya kwenda kwako au kwenu na usipozinduliwa basi unaweza kupotea kabisa.
12. Jogoo mweusi au jogoo mwekundu aliye wekwa porini kwa muda wa siku saba.
13. Chungu cheusi kilicho kesha kaburini kwa muda wa siku saba
14.
15. Kaniki nyeusi pamoja na kamba za kaniki nyeusi
16. Mwiko uliotumika kupika kwenye msiba mkubwa
17. Maji ya mchele yaliyo kesha
18. Mizizi ya mti wa mkurungu
19. Maseko : Hii ni dawa ipatikanayo kwa kuchanganya dawa saba za porini ambazo, kati ya dawa hizo ni pamoja na magamba ya mti wa ukwaju pori, pamoja na mafuta ya samli.
20. Mkuki mdogo wa asili
21. Asali mbichi ya nyuki wadogo
22. Panya mdogo aitwae Msuswe
23.Mafuta ya nyuki wa Nimba : Nimba ni mnyama wa porini ambae anafanana na nyumbu. Mnyama huyu huwa anatembea na mzinga wa nyuki kichwani kwake. Yupo katika kundi la wanyama washirikina. Hapatikani wala kuonekana kwa urahisi na huwa anapotea kimiujiza.
24. Nywele za saluni
25. Moyo wa punda na kafara ya punda
26. Kondoo , mbuzi au mbwa aliyepita duniani bila kuonekana.
27. Mkia wa kondoo
28. Wadudu wa kondoo wa kichwani.
29. Wadudu wa kwenye kokwa la embe
30. Mkia wa mbwa ambao ulikatwa wakati mbwa akiwa amefyata mkia.
31. Samaki wa maji baridi ambae anaona mbali kuliko samaki wote.
Pamoja na mambo mengine mengi. Yote utayapata ndani ya kitabu hiki.
Kwa maelezo zaidi, tembelea : www.mungwakabili.blogspot.com