SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 26 Mei 2017

T media news

KIJANA ALIYE OKOA WENZIE 9 AZAWADIWA

"Sisi 'SuKos' tumeonelea tumpatie Tisekwa Gwamungu 'Hati ya Ujasiri' ambayo ni Shukrani yetu kwake kwa kuweza kuwasaidia watoto wenzie tisa pia tumempatia 'LifeJacket' kwani siku ile ambayo alikuwa anawaokoa wenzie hakuvaa kitu chochote cha uokoaji pia tunampatia laki mbili (200,000) yote ikiwa ni kumpa moyo Tisekwa na tumemchagua kuwa balozi wetu" - Suleiman Kova Mkurugenzi wa Sukos Disaster Management.