Mnamo tarehe 12 mwezi Machi mwaka huu, Mwandishi Jon Yeomans wa gazeti la telegraph la nchini Uingereza alifanya mahojiano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya ACACIA, Brad Gordon.
Pamoja na mambo mengine, Mtendaji Mkuu huyo wa ACACIA alisema kwa kukiri kuwa mikataba/makubaliano kuhusu uchimbaji wa madini pamoja na kuwa ya kisheria lakini hayakuwa ya usawa.