SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 6 Mei 2017

T media news

Basi aina ya Coaster limeua watoto wa shule

Basi aina ya Coaster limeua watoto wa shule(Idadi rasmi haijafahamika) waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo.

-Taarifa zinasema shule inaitwa lake school iliyopo jijini Arusha na basi lilikuwa limebeba wanafunzi 58.

Kwa taarifa zaidi zitakuijia