Wakuu
Nimedumu na mpenzi wangu mpya huyu ambaye nampenda sana yapata sasa ni mwezi wa tatu nipo katika huba nzito!
Siku za hivi karibuni amekuwa akihitaji nichukue kinywa changu kupitia ulimi nilambe sehemu ya kikojoleo chake
Hii imenipa ugumu sana kwani siwezi na wala sitaki kujaribu kwenda huko Uvinza
Nimemwambia kabisa hayo anayotaka siwezi kumfanyia licha ya yeye kufanya hivyo kwangu kila tunapokutana
Baada ya mgomo huu, sasa naona kanuna na hali imekuwa tofauti kabadilika kabisa kwani ananilazimisha na mimi sitaki kwani raha kwa kawaida na analizika kabisa sasa sijui anataka niende chumvini nikafanye nini
Wanajamvi naombeni ushauri, namrudisha vipi kwenye line baby wangu huyu niendelee kufaidi dunia pasipo kuzama chumvini
By Mr swax