SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 22 Machi 2017

T media news

Zitto - Uvamizi wa Makonda Clouds Media Unabaraka za Rais Magufuli,Ushahidi Huu Hapa...!!!!


Nimefahamishwa kuwa waliomsindikiza RC wa Dar Clouds Media ni walinzi maalumu ambao kibali cha kuwatumia hutolewa na Rais au DG Usalama .

Kuna ulazima wa kuwapo Kwa uchunguzi Wa kibunge wa matumizi ya kikosi maalumu cha kumlinda Rais. Ni jambo baya na halivumiliki hata kdg