SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 22 Machi 2017

T media news

Ruge Amjibu Magufuli: Hatujakupangia Umtumbue Makonda, Ila Anatakiwa Aombe radhi..


Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge Mutahaba amejibu kauli ya Magufuli kuwa hapangiwi kumuwajibisha mtu; Ruge amesema hawajampangia kumuwajibisha Makonda ila alichofanya sio sahihi na anatakiwa aombe radhi.