Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete Hivi Karibuni Alipanda Ndege Mpya za Air Tanzania,Ambapo Mara Baada ya Kuzipanda Aliandika Ujumbe Huu Kupitia Ukurasa wake wa Twitter
Nimefurahia kusafiri na @AirTanzania kuja Mwanza. Nimefurahia huduma,uweledi na ukarimu wa watoa huduma wake. Nawatia shime muendelee hivyo.