SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 23 Machi 2017

T media news

Nape Akidhibitiwa na Polisi Arudi Ndani ya Gari Baada ya Mkutano wake Kupigwa Marufuku

Mtazame hapo chini Mbunge Nape akiamriwa kurudi ndani ya gari mara tu alipofika katika Hoteli ya Protea kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.

Rais Magufuli leo ametengua uteuzi wa Nape na Kumteua Mwakyembe kuchukua nafasi hiyo.