SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 9 Machi 2017

T media news

Mdogo wake mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima(Josephat Gwajima) amesema mchungaji huyo apuuzwe

Mdogo wake mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima(Josephat Gwajima) amesema mchungaji huyo apuuzwe vita ya dawa za kulevya na kuhoji nani yuko nyuma yake kupambana na vita hiyo.

- Amehoji watu wanaodai vyeti vya Paul Makonda walikuwa wapi kabla ya vita ya dawa za kulevya na kutaka mamlaka husika ziachiwe kumchunguza.