SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 9 Machi 2017

T media news

Kikao Maalum cha kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa

9/03/2017 Mkoa wa Dodoma .

Kikao Maalum cha kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa  kimemalizika mchana huu katika ukumbi Wa CCM Mkoa Wa Dodoma. Kikao hicho ni  Maandalizi ya Kikao cha  Baraza Kuu la UVCCM Taifa Maalum  linatarajiwa kufanya leo alasiri katika ukumbi Wa Royal Village Hotel Dodoma.