Pichani askofu wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima akiwa na timu ya Clouds media alipowatembelea kuwapa pole kutokana na uvamizi uliofanyika ofisini kwao. Gwajima amedai sasa amekuwa mwanafamilia wa Clouds
habari michezo na burudani