Mwishoni mwa mwezi January zilizagaa picha za wapenzi wawili nchini Kenya Anne na Wilson Muturawaliofunga ndoa yenye gharama ya dola moja ya Marekani.
Mara baada ya kutokea kwa kisa hicho, wapenzi hao wameandaliwa sherehe ya kifahari iliyofanyika katika bustani ya Eden Bliss iliyopojijini Nairobi.
Sherehe hiyo imegharimu Dola 35,000 mara baada ya makundi mbalimbali yanayohusika katika uandaaji wa sherehe, kuungana kwa pamoja na kuandaa sherehe hiyo.