SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 14 Februari 2017

T media news

Maneno ya Zitto Baada ya Kamishna wa Kupambana na Madawa ya Kulevya Kukabithiwa Majina 97 Bila ya Kutajwa

6/2/2017 nilisema Bungeni.

"Huu ni mtego wa panya, hujui utamnasa nani. Wajibu wetu ni 1) kuunga mkono na kushiriki vita dhidi ya madawa ya kulevya na 2) Kuisimamia Serikali kuhakikisha kuwa inaendesha vita hii kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi yetu".


Sasa tumerudi kwenye misingi ya sheria. Sote tupambane na tusimwonee mtu.

"He seems a great man. A man of PRINCIPLES and law abider.


Tutafata sheria ". Hilo Ndio tunataka.