SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 4 Februari 2017

T media news

LINAH SANGA AINGIA KWENYE LIST YA MASUPA STAR WAKIKE WANAOTEGEMEA KUPATA WATOTO MWAKA HUU

Beyonce, Kelly Rowland na Linah Sanga ni miongoni mwa wasanii wa kike wanaotegemea kupata watoto mwaka Huu, ikiwa Beyonce yasemekana atapa mapacha, Kelly Rowland na Linah bado hawajasema kwao vipi mapacha au vipi…!!


Beyonce

Kelly Rowland

Linah Sanga