Bellow are important quotes za Mkuu wa mkoa Dar es Salaam
'Furaha yetu si idadi ya watu wangapi tumewakamata kwa dawa za kulevya, furaha yetu ni DSM kutokuwa sehemu ya dawa za kulevya'-RC Makonda
'Ikipona DSM na dawa za kulevya huko pote mikoani patakuwa salama' -RC Makonda
'Kuna watu tuliwaita, baadhi nimeambiwa hawajafika, ambao hawajafika nimeagiza wakachukuliwe wakae ndani mpaka siku ya jumatatu'-RC Makonda
'Tumeunda timu maalumu ya kushughulika na wanaouza dawa za kulevya, timu itakuwa na vyombo vyote vya dola si polisi peke yake'-Kamanda Sirro.
Kamanda Sirro amemtaja Vanesa Mdee kuwa miongoni mwa wanaotuhumiwa kuhusika na mtandao wa madawa, amtakiwa kuripoti kituoni Jumatatu.