Baada ya kumake headline kuhusu yale mabusu ambayo walinaswa na kamera, Wizkhalifa pamoja na Amber Rose wameamua kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mtoto wao Sebastian’s.
kupitia kurasa ya Instagram ya Amber Rose aliposti picha akiwa na mtoto wake Sebastian’s pamoja na Wizkhalifa wakiwa kwenye mavazi ya Batman pamoja na Catwoman huku wakionyesha sura za furaha.