SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 3 Februari 2017

T media news

AGIZO LA RAIS MAGUFULI KWA WENYE MAGARI NA PIKIPIKI WANAOKAMATWA KWENYE BARABARA ZA MWENDO KASI YAANZA KUTIMIZWA ONA HAPA LIVE!!


Rais Magufuli alitoa agizo la Polisi kukamata wale wanaopitia kwenye mwendo kasi na kuondoa matairi ya vyombo vyao hizi ni baadhi ya bodaboda baada ya kuondolewa tairi kwa kuvunja Sheria ya kutokupita kwenye Barabara hizo za Mwendo Kasi.