SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 14 Januari 2017

T media news

WADADA WA MJINI WAPEWA MAKAVU LIVE,WAAMBIWA HALI HALISI YA MAISHA YA SASA

Maisha yamebadilika, nyakati zimebadilika ela za mchezo hazipo tena kila senti inakazi ya kufanya. Enyi wadada mliozoea mizinga jifungeni Mikanda mwafwaaa. Ile ya baby naomba unitumie elfu 30 kwenye MPESA hizo

zama zimepita, hyo ela ukiihitaji itabidi uje uifanyie kazi haswa, itabidi ufue, Utandike kitanda, upike na game uperform Vizuri. Maisha ya ujanja ujanja yamepita nasema na mwenye masikio asikie