SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 14 Januari 2017

T media news

Tangazo Kwa Umma Kuhusu Wahitimu Wa Shahada Na Stashahada Za Ualimu (Sayansi) Waliotakiwa Kuwasilisha Vyeti


==>>WAHITIMU AMBAO NYARAKA ZAO ZILIWASILISHWA MAJINA YAO YANAPATIKANA KATIKA LINK HIZI .

 

1. ORODHA YA WAHITIMU WA SHAHADA 2015 WALIOKAMILISHA VYETI

2. ORODHA YA WAHITIMU WA STASHAHADA 2015 WALIOKAMILISHA VYETI  

 

WAHITIMU WALIOPO KWENYE ORODHA HAPO JUU WASIWASILISHE NYARAKA HIZO TENA.