SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 13 Januari 2017

T media news

PICHA SABA ZA MH MBOWE NA UJUMBE WAKE ALIPOKUA BUNDA

Mwenyekiti wa chadema taifa Mh mbowe akizungumza na wajumbe wa chadema wilaya ya bunda
Wajumbe wa chadema wilaya ya bunda wakimsikiliza Mh mbowe na mwenyekiti wa taifa
Mh  mbowe akizungumza na viongozi wa chadema wilaya ya bunda
Mh mbowe akisahini kitabu cha wageni katika ofisi ya chadema (w) ya bunda