Nyota Thomas Muller ameamua kuwashangaza waandishi wa habari baada ya kuamua kuja na mbinu ya kuwapotezea kwa kuifanya passport yake kuwa kama simu, yote hiyo ni kukwepa kufanyiwa mahojiano na waandishi kutokana na mambo mengi ya uvumi juu yake.
Tukio hilo alilifanya pindi alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Munich akiwa pamoja na kikosi cha Bayern.