Kamati Kuu ya Utendaji ya CAF ilikutana Alhamisi, 12 January 2017 katika mji mkuu wa Gabon, Libreville. Baada ya maongezi na makubaliano yafuatayo yaliafikiwa.
1. Wagombea katika nafasi ya Urais wa CAF na kamati ya utendaji ya CAF kwa muhula wa 2017-2021 wafuatao walipitishwa;
Uchaguzi wa Urais CAF Muhula 2017-2021
Rais Anayetoka: Issa Hayatou (Cameroon)
Wagombea: Ahmad (Madagascar), Issa Hayatou (Cameroon)
Uchaguzi wa kamati ya Utendaji wa CAF 2017-2021
Kanda ya Kasakazini
Mjumbe anayeondoka: Mohamed Raouraoua (Algeria)
Wagombea: Anwar El Tashani (Libya)
Fouzi Lekjaa (Morocco)
Mohamed Raouraoua (Algeria)
Kanda A Magharibi
Mjumbe Anayeondoka: Amadou Diakite (Mali)
Wagombea: Amadou Diakite (Mali)
Hassan Musa Bility (Liberia)
Kanda B Magharibi
Mjumbe anayeondoka: Anjorin Moucharafou (Benin)
Wagombea: Amaju Melvin Pinnick (Nigeria)
Anjorin Moucharafou (Benin)
Kanda Ya Kati
Mjumbe Anayeondoka: Adoum Djibrine (Chad)
Wagombea: Adoum Djibrine (Chad)
Kanda ya Kati Mashariki
Mjumbe Anayeondoka: Magdi Shams El Din (Sudan)
Wagombea: Juneidi Basha Tilmo (Ethiopia)
Magdi Shams El Din (Sudan)
Moses Magogo (Uganda)
Suleiman Hassan Waberi (Djibouti)
Kanda ya Kusini (nafasi 2)
Wajumbe Wanaondoka: Ahmad (Madagascar)
Suketu Patel (Seychelles)
Wagombea: Danny Jordaan (South Africa)
Frans Mbidi (Namibia)
Rui Eduardo Da Costa (Angola)
Suketu Patel (Seychelles)
Wagombea kwa Wanawake (Nafasi Moja)
Wagombea: Isha Johansen (Sierra Leone)
Lydia Nsekera (Burundi)
2. Uchaguzi wa wawakilishi kutoka Afrika kwenye halmashauri?Baraza la FIFA katika muhula wa 2017 – 2021
Ikizingatiwa vigezo vya kuweza kugombea kutokana na sheria na taratibu za FIFA, majina yafuatayo yamepitishwa.
Wenye Asili ya Waarabu, Wareno na Wahispania
Tarek Bouchamaoui (Tunisia)
Nchi zenye asili ya lugha ya Kifaransa
Constant Omari Selemani (DR Congo)
Augustin Sidy Diallo (Cote d’Ivoire)
Nchi zenye asili ya lugha ya Kiingereza
Kwesi Nyantakyi (Ghana)
Leodegar Tenga (Tanzania)
Kalusha Bwalya (Zambia)