SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 1 Desemba 2016

T media news

TAZAMA PICHA ZA STUDIO MPYA YA CHRISTIAN BELLA

Mkali wa masauti Christian Bella Alhamisi hii ameonyesha studio yake mpya ‘Kingdom Music’ iliyopo Sinza Palestina jijini Dar es salaam.

Bongo5 ilitembelea kwenye studio hiyo na kujionea uwekezaji mkubwa uliofanywa na msanii huyo ambaye anafanya vizuri na video yake ya wimbo ‘Nishike’.

Muimbaji huyo amesema kukamilika kwa studio hiyo kunaendana sambamba na ujio wa wasanii wa label yake.

Angalia picha za studio hiyo wakati full interview ikiandaliwa.