Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Lameck Nchemba leo November 14 2016 kwenye aacount yake ya Instagram amepost picha yake kipindi hicho akiwa anachunga mifugo ya mzee wake kijijini kwao Makunda Iramba na ameyaandika haya……
‘Hii ni sehemu tu ya maisha niliyopita, Hapa nikiwa nachunga mifugo ya mzee kijijini kwetu Makunda-Iramba.Weka malengo, nidhamu, jitihada bila kusahau Mungu. Anayeijua kesho yako ni Mungu,usiwekeze kwenye kulalamika tu’