SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 15 Novemba 2016

T media news

UTOVU WA NIDHAMU SABABU YA NAVYKENZO KUMFANYIA HIVI MSANII WAO

Tahadhari kutoka uongozi wa The industry Studio Tanzania msanii seline (Roseseline Muhagachi) hayupo tena chini ya uongozi wa lebo “The Industry” inayomilikiwa na NAVYKENZO (Aika&Nahreel)Hii ni kutokana na matukio mbalimbali ya utovu wa nidhamu ambayo yalitokea akiwa chini yaya uongozi wa label hiyo

Selline Wa Pili Kushoto.

The industry haihusiki na shughuli,matangazo wala matukio yeyote yanayomhusu mwanadada seline(roseline Muhgachi)