Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha ofisini kwake Spika wa bunge la Afrika mashariki, Daniel Kidega, katika ofisi ndogo za makao makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Daniel Kidega, katika ofisi ndogo za makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.