Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Crown Prince wa Abudhabi na Naibu Kamanda Mkuu wa Majeshi ya UAE Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan katika makazi yake jijini Abudhabi
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ambaye ni Mjumbe Maalum wa AU kwa Libya, akiwa katika mazungumzo na Crown Prince wa Abudhabi Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan. Kulia ni Waziri wa Nchi H.H.Reem Al Hashimy.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ambaye ni Mjumbe Maalum wa AU kwa Libya, akiagana na Crown Prince wa Abudhabi Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan.